SABABU / CHANZO CHA UTI / UTIAI.
UTI yaweza kusbabaishwa na viini tofauti tofauti kuanzia kwa bacteria , fangas na virusi . Bacteria anayeitwa E. coli ndiye mara nyingi husababisha UTI . Bacteria huyu patikana kwa sehemu nyingi za mwili na huwa hasababishi magonjwa ila wanapoongezeka ukeni ndipo husabbisha UTI . Matumizi ya dawa za kuua bateria {antibiotics} ndiyo husababisha wakati mwengine bacteria hawa waongezeke na kusabisha UTI . Matumizi ya baadhi ya mbinu za uzazi zaweza sababisha UTI kutokana na kuhitilafiana na baadhi ya viwango homoni tofauti mwilini . Kutokuzingatia usafi wakati mwengine kwaeza sababisha UTI wakati mwengine kwa baadhi ya wananwake . Mwisho mabadiliko ya mazingira kwa baadhi ya wananwake husababisha UTI kwao .