DALILI ZA UTI / UTIAI KWA MWANAMKE.
Dalili za uti kwa mwanamke na mwanamke hutofautiana kwa vitu vichache . Hizi ndizo dalili za UTI kwa mwanamke .
1. Kuhisi
uchungu pale unapojaamiana na mpenzi wako au mumeo . Hii hutokana na vidonda
vinavyosbabishwa na bacteria au fangas katika uke wako .
2. Kuhisi
uchungu au kuchomeka / mwasho pale unapoenda haja ndogo .
3. Kutokwa
na uchafu ulio na harufu au sion na harufu ikitegemea imesababishwa na fangas
au bacteria .
4. Kutokwa
na harufu mbaya ukeni , na hii mara nyingi hutokana na bateria .
5. Kuhisi
maumivu kiunoni na kwenye sehemu ya chini ya mgongo . Kwakua bateria na fangas
husambaa kuna uwezekano wa kusambaa hadi kwenye baadhi ya viungo kiunoni na
hivyo basi kusababisha maumivu kwenye kiuno .
6. Kuhisi
joto kupanda mwilini . Kupanda kwa joto mwilini kwaeza ashiria kuwa bacteria au
fangas hawa wameingia kwenye dam una hivyo kinga yako ya mwili inajaribu kuvikabili
.
Dalili hizi za UTI hufanana na za
magonjwa mengine . Ikiwa uko na takriban dalili tatu zilizotajwa hapa itaashiria
UTI .