SABABU / CHANZO CHA UTI / UTIAI.
UTI yaweza kusbabaishwa na viini tofauti tofauti kuanzia kwa bacteria , fangas na virusi .
Bacteria anayeitwa E. coli ndiye mara nyingi
husababisha UTI . Bacteria huyu patikana kwa sehemu nyingi za mwili na huwa
hasababishi magonjwa ila wanapoongezeka ukeni ndipo husabbisha UTI .
Matumizi ya dawa za kuua bateria {antibiotics} ndiyo
husababisha wakati mwengine bacteria hawa waongezeke na kusabisha UTI .
Matumizi ya baadhi ya mbinu za uzazi zaweza sababisha
UTI kutokana na kuhitilafiana na baadhi ya viwango homoni tofauti mwilini .
Kutokuzingatia usafi wakati mwengine kwaeza sababisha UTI
wakati mwengine kwa baadhi ya wananwake .
Mwisho mabadiliko ya mazingira kwa baadhi ya wananwake
husababisha UTI kwao .