Kufura kwa pua na uso kwa mjamzito.
Kufura kwa
pua kwa mjamzito
ni dalili moja
kuu ya ujauzito .Kuna sababu kadhaa
ambazo husababisha kufura
kwa pua .
Sababu za
kufura kwa uso na pua
kwa mjamzito .
Pua hufura kwa
mjamzito kutokana na kuongezeka kwa
damu katika sehemu
zote za mwili
zilizo na Mucosal
membranes . Kwenye uso wako kuna
tissues tunazoita musoal
membranes . Unapokua mjamzito kiwango
cha damu huongezeka
katika mwili wako . Vile
vile presha ya
damu yako huongezeka
. Vitu hivi viwili ndivyo huchangia
kufura / kuvimba kwa uso na
pua kwa mjamzito .
Hali hii
huendelea hadi utakapo
jifiungua .
Tiba ya
kufura / kuvimba
uso na pua
kwa mjamzito .
Kitu kimoja
ambacho husaidia sana
ni kunywa maji kwa
wingi . Jitahidi kunwa maji kwa wingi .
Vile vile jitahidi
kufanya mazoezi . Usitulie
tu sehemu moja
kwa muda mrefu .
Mwisho kabisa
ni vizuri kutembelea
hospitali mara kwa mara
haswa ikiwa uko na dalili zingine
ambazo sio za kawaida .