Kufura kwa pua na uso kwa mjamzito.
Kufura kwa pua kwa mjamzito ni dalili moja kuu ya ujauzito .Kuna sababu kadhaa ambazo husababisha kufura kwa pua . Sababu za kufura kwa uso na pua kwa mjamzito . Pua hufura kwa mjamzito kutokana na kuongezeka kwa damu katika sehemu zote za mwili zilizo na Mucosal membranes . Kwenye uso wako kuna tissues tunazoita musoal membranes . Unapokua mjamzito kiwango cha damu huongezeka katika mwili wako . Vile vile presha ya damu yako huongezeka . Vitu hivi viwili ndivyo huchangia kufura / kuvimba kwa uso na pua kwa mjamzito . Hali hii huendelea ...