Posts

Showing posts from October, 2020

Dalili za mimba changaa . | Dalili za mwanzo za mimba .

    Dalili za mimba changa . Dalili za mwanzo za mimba au dalili za mimba changa ni zipi ? Dali za mimba changa hutofautina baina ya mtu mmoja na mwengine kutokana na kuwa miili huwa ina utofauti mkubwa . Hizi ndizo dalili za mimba changa au dalili za mwanzo za mimba . ·        Kuujihisi mgonjwa asubuhi ghafla . Hii hutokana na kuongezeka kwa hormoni nyingi za mimba kwenye damu yako kama vile Oestrogen HCG na kadhalika amabazo hukufanya ujihisi mgonjwa . ·        Kuhisi haja ndogo kila baada ya muda mfupi. Hii hutokana na hormoni kama vile progesterone ambazo hufanya misuli kwenye utumbo na kibofu kulegea .Matokeo yake ni kuwa utajihisi haja ndogo kila baada ya muda mfupi. ·        Kukosa hedhi zako kwa wakati unaostahili. Hedhi huashiria mwanzo katika mwezi unaofuata wa mzunguko wako .Kukosa hedhi ni dalili ya mwanzo ya mimba au dalili ya mimba changaa kutokana na kuwa uk...